Wasiliana Nasi
Huduma za afya za kuaminika, masaa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki
Uchunguzi, utambuzi na matibabu ya magonjwa ya kawaida kwa watoto na watu wazima, yakitolewa na madaktari wenye uzoefu masaa 24 kwa siku.
Huduma za haraka kwa wagonjwa wenye hali za dharura, ikijumuisha huduma za awali na rufaa inapohitajika.
Vipimo vya maabara vya uhakika kwa uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, tukizingatia viwango vya kitaalamu.
Famasi iliyo ndani ya kituo, ikitoa dawa na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wafamasia.
Huduma za msingi za meno ikiwemo usafi wa meno, matibabu ya maumivu na ushauri wa afya ya kinywa.
Kliniki maalum na huduma za kitaalamu ziko katika hatua za mwisho ili kupanua wigo wa huduma kwa jamii.
Tunapokea wagonjwa wote wenye bima ya NHIF.
Malipo kupitia bima binafsi na makubaliano ya taasisi.
Fedha taslimu na njia za kielektroniki.